G1 Mapinduzi Kwanza logo G1 Mapinduzi Kwanza

G1 Mapinduzi Kwanza

🆓 free

Version 0.1 💾 3 Mb
📅 Updated August 6, 2

4.9/5 ( 173+ reviews)
Android application G1 Mapinduzi Kwanza screenshort

Features G1 Mapinduzi Kwanza

Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza imeanzishwa chini ya sharia namba (6) ya mwaka 1995 Kikundi kimeanzishwa kwa lengo la kujitambua na kusaidiana na kusaidia jamii inayotuzunguka hasa vijana kina mama wazee na watoto.
Sisi ni wana Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza ambao tunaoishi Zanzibar na Tanzania bara pamoja na walokuwa nje ya Tanzania kwa umoja wetu tumeanzisha Kikundi hichi bila ya kushawishiwa na mtuKikundi hiki kitakua ni chambo madhubuti cha kutuunganisha1.
DIRAKuwa na jamii ya watu wenye uelewa na muamko wa kimaendeleo katika Nyanja za kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni ili kutokomeza ujinga umasikini na maradhi.2.
MUELEKEOKuhakikisha kwamba jamii ya watu wa Zanzibar na Tanzania wanaelimika na kuhamasika katika harakati za kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla3.
MALENGOKikundi hiki kimeanzishwa ili kutekeleza malengo yafuatayo:-i.
Kujenga mazingira mazuri yatakayosaidia kukuza mahusiano na kuelewana na kukuza uduguii.
Kuanzisha na kusimamia miradi ya kikundi cha G1 Mapinduzi kwanza na shughuli mbalimbali za kimaendeleoiii.
Kuwaunganisha Watanzania wa ndani na nnje kwa kutumia mitandao ya kijamii Whatsapp, Facebook, Instagram na Twitter ili kusaidia maendeleo ya Taifa kwa ujumlaiv.
Kuwajengea uwezo wa kiunshindani vijana wajasiriamali na kutangaza kazi zaov.
Kuhimiza ushiriki na ushirikishwaji wa wana kikundi wote yanapotokezea matukio ya shida, furaha, ugonjwa na matatizo mbali mbali ya kijamii

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the G1 Mapinduzi Kwanza in Action

G1 Mapinduzi Kwanza Screen 1
G1 Mapinduzi Kwanza Screen 2
G1 Mapinduzi Kwanza Screen 3
G1 Mapinduzi Kwanza Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above